WACHUNGAJI NA WANAKWAYA WA KKT DAYOSISI YA MAGHARIBI WATOA MSAADA KWA WAGONJWA TUMBI

Posted on: April 12th, 2025
Wachungaji na wanaimbaji wa kwaya za uinjilisiti na uamsho wa Kanisa la Kiinjili la Kiluteli Jimbo la Magharibi, Dayosisi ya Mashariki na Pwani wametoa misaada kwa wagonjwa waliopo kwenye wodi mbalimbali za hosptali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani – Tumbi  leo tarehe 11 Aprili 2025  ikiwa ni sehemu ya kuonesha matendo ya huruma kwa wenye uhitaji